CA KUZA Broadcasting Awards 2023 Mo Radio inashiriki katika shindano la CA KUZA Broadcasting Awards mwaka huu. Kupigia kura Mo Radio kuwa kituo bora cha utangazaji katika eneo la Pwani Mwaka huu, Tuma neno KUZA kwa 15601 na ufuate hatua kwa hatua hadi sehemu ya kupigia kituo hiki cha Mo Radio ukipendacho. Kumbuka kupiga kura ni BURE! Mo Radio, we are In charge!