Juma Nature

MOMBASA, Kenya, Septemba 5- Msanii mkongwe na mwanzilishi wa kundi la Temeke yani TMK wanaume ametoa sababu za yeye kutokuwepo kwenye wasafi Festival licha ya jina lake kuwa kwenye orodha ya wasanii waliotarajiwa kutumbuiza kwenye hafla hiyo. Sir Nature kupitia comment section,alijibu shabiki alieuliza kukosekana kwake kwenye show,Kiroboto kamjibu kwamba ilikuwa ya hela ndogo. Kulingana […]


Current track

Title

Artist

Background