Entertainment

NAIROBI, Kenya, July 23- Kenyan Dancehall star and businessman KRG the Don has revealed that he will be stepping back from the entertainment industry to concentrate fully on his business ventures. He made the announcement through a post on social media. “I’m taking a long break from the entertainment business!!! I wanna put my energy and […]

MOMBASA, Kenya, July 22- Aliyekuwa msanii wa Hiphop humu nchini,Cannibal ameweza kufunguka kuhusu safari yake ya muziki hadi kubadilika na kuingia katika dini ya Kikristo. Cannibal ambaye anaendelea kubadilisha jina lake hadi Minister Chosen 1 amefunguika mengi kuhusu maamuzi yake ya kuokoka kwenye The Hotseat kupitia mitandao yetui ya Kijamii siku ya Ijumaa tarehe 19 […]

MOMBASA, Kenya, July 22-  Msanii kutoka ukanda wa Pwani,Kelechi Africana amezua gumzo kwenye mitandao kwa mara nyengine tena. Kelechi ambaye amekuwa miongoni wma wasanii wazuri kutoka humu nchini,amekuwa midomoni mwa mashabiki mara kwa mara kutokana na jinsi anavyoendesha shughuli zake. Sound Chief ameweza kuandika hivi kupitia mtandao wake wa Facebook “Mimi tu ndio niko na […]

MOMBASA, Kenya, July 19- Msanii wa hapa nchini B Classic Kenya amekuja na ujio mpya.Asali ndio jina la ngoma yake mpya ambayo inaendelea kufanya vizuri kwenye mitandao mbali mbali.Asali ndio ya hivi punde Zaidi ambayo ni wimbo wa mapenzi kwa ajili ya wenye wapenzi. ‘Wewe ndio asali, utamu wa mapenzi,wangu wa halali bila wewe siwezi’ huu […]

MOMBASA, Kenya, July 18-  Msanii Divine Ikubor almaarufu kama Rema kutoka nchini Nigeria ni miongoni mwa wasanii wazuri na waandishi wa ngoma wanaokua kwa kasi sana na kupata umaarufu kote duniani. Rema alizaliwa Tarehe 1 Mei 2000 na kupata umaarufu mwaka wa 2018 alipoweka kipande kifupi cha wimbo wa D’Prince’s unaoitwa “Gucci Gang.” Rema aliingia […]

NAIROBI, Kenya, July 17- Msanii wa muda wote kutoka hapa mkoani pwani,Francis Kazungu Kalama almaarufu kama Dogo Richie aliyezaliwa mwaka wa 1989 Septemba 15 eneo la Malindi kaunti ya Kilifi anaendelea kuteka mioyo ya mashabiki kupitia mashairi yake. Dogo Richie ambaye yuko chini ya Kaya Records kwa sasa,ametangaza rasmi kupitia mtandao wake wa facebook kwamba yuko […]

NAIROBI, Kenya, July 17- Ngoma ya Bien aliyomshirikisha Breeder LW inayoitwa ‘maandamano’ iliyotoka siku saba zilizopita imeingia nambari moja kwenye trending ya Youtube. Maandamano imefikisha watazamaji laki tano, elfu thelathini na mbili(532k views) na inaendelea kufanya vyema. Sababu zinazofanya ngoma hii ivume na kutazamwa kwenye mtandao wa Youtube huenda ikawa ni kutokana na maudhui yake kwani […]

MOMBASA, Kenya, July 16- Msanii kutoka ukanda wa pwani,Happy C Uptown ameweza kufichua kati ya mambo makubwa ambayo mashabiki wanafaa kuyatarajia kutoka kwake. Akizungumza kwenye kipindi chetu cha Mid Morning Show Ijumaa tarehe 12 Julai 2024 ndani ya Mo Radio 88.2fm, Happy C amemtaja Ali Kiba kama msanii ambaye alimskia zamani kabla HC kutambulishwa rasmi […]

MOMBASA, Kenya, July 16- Msanii na mwanaharakati wa masuala ya kijamii na tamaduni,Kaa La Moto Kiumbe amefunguka kuhusu ngoma yake ya ‘Nakam’ aliyomshirikisha Boutros na Ssaru miezi sita iliyopita. ‘Nakam’ imefikisha watazamaji Zaidi ya Laki Tatu kwenye mtandao wa Youtube jambo ambalo Kaa la Moto hajaliona kama mafanikio ya ngoma hiyo. Kulingana na Profesa Kesi,mafanikio ya […]

MOMBASA, Kenya, July 16- Echo254 amefunguka kwamba usimamizi wake wa Kubwa Studios uko na uwezo wa kumfanyisha kolabo na miongoni mwa wasanii wakubwa Afrika, Diamond Platinumz kutoka nchini Tanzania. Akizungumza kwenye The Hotseat Live kupitia mitandao yetu ya kijamii siku ya Ijumaa 12 Julai, Echo amefunguka kuwa Athamn Babaz, ambaye ndio Mkurugenzi mkuu ana uwezo […]


Current track

Title

Artist

Background